Omba kufutwa kwa akaunti (Account deletion request)

Ukifungua akaunti ya DoorDrop, unaweza kuomba ifutwe pamoja na data zinazohusiana. Ombi lako litashughulikiwa kwa mikono na timu yetu.

If you created a DoorDrop account, you can request that we delete the account and related personal data. Requests are handled by our support team.

Jinsi ya kuomba · How to request

  1. Jaza fomu hapa chini (jina, nambari ya simu au barua pepe iliyosajiliwa kwenye app).
  2. Bonyeza Tuma ombi — barua pepe itafunguka kwenda doordrop225@gmail.com.
  3. Tuma barua hiyo. Unaweza pia kuandika moja kwa moja kwa anwani hiyo ukiwa na somo “DoorDrop account deletion”.

Fill in the form below with the name and phone/email used in the app, then send the email. You may also email us directly with the subject “DoorDrop account deletion”.

WhatsApp (hiari): +255 785 019 093

Fomu ya ombi · Request form

Weka angalau simu au barua pepe inayolingana na akaunti yako.

Data zinazofutwa · Data we delete

Baada ya kuthibitisha ombi lako, kwa kawaida tutafuta:

  • Akaunti yako (profile, jina, simu, barua pepe)
  • Mahali uliyohifadhi (saved places) na mapendeleo
  • Historia ya oda kwenye akaunti yako (inapowezekana kisheria)
  • Picha / media zilizounganishwa na akaunti yako
  • Tokeni za arifa (push tokens) na data za kuingia

After verifying your request, we typically delete your account profile, saved places, in-app order history where legally allowed, related media, and push/login tokens.

Data zinazobaki · Data we may retain

Baadhi ya taarifa zinaweza kubaki kwa muda mfupi au kama sheria inavyohitaji, mfano:

  • Rekodi za malipo / miamala (kwa ajili ya uhasibu, kodi, na kuzuia ulaghai)
  • Rekodi za mizozo, udanganyifu, au ripoti za kisheria
  • Nakala za backup hadi zifutwe kwa ratiba ya kawaida ya mfumo

Some payment, fraud-prevention, and legal records may be retained as required by law or until routine backups expire. Retained data is not used for marketing.

Muda · Timeline

Tutathibitisha ombi lako ndani ya siku 7 za kazi, na kukamilisha kufutwa kwa akaunti ndani ya siku 30 baada ya uthibitisho, isipokuwa sheria au mzozo unaoendelea unahitaji muda zaidi.

We aim to acknowledge within 7 business days and complete deletion within 30 days after verification, unless a longer period is required by law or an active dispute.

Mawasiliano · Contact

Email: doordrop225@gmail.com
Address: doordrop, Dar es Salaam, Tanzania
Privacy Policy · Terms & Conditions